Nyimbo na uimbaji umekuwa ukifanya maajabu si katika kipindi hiki tu bali Tangu Enzi za ukuta wa Yeriko, Nguvu ya kusifu ingali hai na bado inafanya kazi katikati ya maisha yetu.

hii imethihirishwa na muimbaji Angel Bernad aliposhuhudia moja ya shuhuda anazoendelea kuzipata kupitia nyimbo zake tofauti tofauti alizofanya zinazoendelea kuwahudumia watu mbalimbali

“We thank God because we have been getting different testimonies from fans. One fan sent me a personal text saying they had planned to commit suicide on New Year’s Eve because they were going through a difficult situation but after listening to ‘Huyu Yesu’, they found a reason to trust in Jesus. It has been a blessing to us,”

alisema Angel.

akimaanisha kuwa kuna mtu alipanga kujiuwa lakini aliahirisha baada ya kusikiliza wimbo wake wa Huyu yesu aliofanya na Mercy Masika na kupata tumaini upya kumuamini Yesu.

wimbo huo uliandaliwa katika studio za still alive nchini kenya.

MUNGU azidi kukutumia kwa utukufu wake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here