Kitendo cha Mwimbaji Legend Wa Muziki Wa Injili Marekani Kirk Franklin kukiri Kumsamehe Baba Yake Mzazi Aliyeishi Miaka Yote Akimchukia Baada Ya Baba Yake Huyo Pamoja Na Mama Yake Mzazi Kumtoa Alipokuwa Mdogo Na Kuacha Alelewe Na Familia Nyingine (Adoption).kimeendelea kuinbua hisia mbalimbali ulimwenguni huku wengi wakimsifu na kumpongeza kwa kitendo hicho na wengine wakimkosoa na kuhoji kuwa alikuwa wapi kumsamehe tangu aijue kweli.
Msamaha Huo ulifuatia taarifa kuwa mzazi wake amebakiza muda mchache wa kuishi kitendo ambacho kilimgusa muimbaji huyo na kupitia akaunti zake za mitaandao ya kijamii alithibitisha kwa kuandika
“So…..
Two days ago, I received an anonymous call that my biological father, who I never knew, has 3-6 months to live. I’ve lived my entire life hating this man. He and my biological mother gave me up for adoption, and it left me never feeling good enough….to this very day. I took my hate for him and used it as fuel to be the best father I could be for my own. But what I did wrong, is I never took that fuel, and turn it into forgiveness….and that is wrong. Wrong for him, me, and the God I proclaim to represent. How can I preach what I don’t practice. So I flew to Houston yesterday to do that. It’s painful, it’s a process, but how disappointed I would be in myself for this man to leave this earth without being forgiven. He deserves to receive what God gives me everyday. Pray for him, and for me. God this is hard…I weep as I write”.

Akiwaelezea namna alivyopokea taarifa na mambo aliyofikia mpaka kuamua kumsamehe mtu ambaye alikiri wazi kuwa aliishi maisha yote akimchukia.
Kirk Franklin ambaye amekuwa akiweka wazi kuwa hakuwahi kupata malezi bora Alilelewa Na Shangazi Yake Kuanzia Alipokuwa Mtoto Aitwaye Gertrude Na Bibi Yake. Mpaka alipoanza kuji husisha na uimbaji na kuanza Rasmi Kusimama Peke Yake Kama Mwimbaji Binafsi Mwaka 2001.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here