Muimbaji maarufu kutokea nchini Kenya Mercy Masika amefunguka wazi sababu zilizomfanya kutoka nchini Kenya na kuweka kambi yake nchini Tanzania kuwa ni katika maandalizi ya kufanya Event ambayo itahusisha live recording aliyoipanga kufanyika hapa hapa nchini Tanzania Tarehe 2 Disemba.

Akizungumza na chombo kimoja cha habari Muimbaji  Mercy Masika amesema shamla shamla kuelekea live recording hiyo zimekwisha kuanza kwa ufunguzi wa shindano la uimbaji linaloendelea lengo likiwa ni kuinua na kukuza vipaji,

Niko Tanzania na event this Desemba tunapromote young talents na nitafanya live recording among other things, ..we are excited mambo makubwa makubwa yatafanyika  Tanzania.

alisema Mercy.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here