Muimbaji wa injili kutoka Tanzania Ritha Komba mapema wiki hii amekutana na waandishi wa habari na kuelezea kuhusu  maandalizi ya uzinduzi wa albam yake ya NI RAFIKI, akizungumza wa waandishi wa habari muimbaji huyo amesema maandalizi ya uzinduzi huyo yamekamili na kuwakaribisha wapenzi wa huduma yake siku hiyo bila kukosa huku akiahidi kuwa uzinduzi huo utakuwa wa tofauti sana

Katika hatua nyingine muimbaji Ritha Komba kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii ametaja list ya waimbaji watakao hudumu siku hiyo, mahali uzinduzi utakapo fanyika pamoja na mgeni rasmi.

Katika kurasa yake Ritha ameandika

Jumba la makumbusho ya Taifa Posta karibu na chuo cha IFM
28 October 2018
Saa saba na nusu mchana (13:30 afternoon ) mpaka saa 12:30 pm

Start where you are with what you have(Anzia hapo ulipo na hicho ulicho nacho)

Waimbaji
@neemamudosa
@derick_marton
@giveness_ngao
@walterchilambotz
@rehemalupilyaofficial
@priscasanga_tz
@miltonmugisha
@bettybarongo
@judie
@Gazukojesca
@Mercychilijila
@Docc

Mgeni Rasmi Pastor DEUDONNE MUKENDI

Mtoa Mada- Preacher FRED MSUNGU
Mc no 1 Sarah Mvungi
Mc no 2 Hossein Gabriel 🙏🙏🙏🙏🙏

Usikose kufika kwani DVD Zitapatikana kwa shilingi 5000/ tu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here