mchungaji na muimbaji Emmanuel Mgaya aliyejipatia umaarufu kupitia uchekeshaji na baadaye kumpokea na kuamua kumtumikia Yesu ameachia video ya wimbo wake wa KEMEA PEPO ambapo ndani ya wimbo huo askofu Gwajima na mtumishi wa Mungu B.Mwamposa wameonekana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here