27 C
Dar es Salaam
Thursday, January 24, 2019
Home Breaking News

Breaking News

News is information about current events. This may be provided through many different media: word of mouth, printing, postal systems, broadcasting, electronic communication, and also on the testimony of observers and witnesses to events. It is also used as a platform to manufacture opinion for the population.

Maandalizi Yakamilika, Ni Rafiki Kuzinduliwa 28 oktoba.

Muimbaji wa injili kutoka Tanzania Ritha Komba mapema wiki hii amekutana na waandishi wa habari na kuelezea kuhusu  maandalizi ya uzinduzi wa albam yake ya NI RAFIKI, akizungumza wa...

Muimbaji Jamaica Awakasirisha Mashabiki kujifananisha Na Yesu.

Msanii Gully Gad, aka Mavado kutokea Jamaica anayefanya muziki wa Dance hall ameshambuliwa na mashabiki kwenye mitandao ya kijamii baada ya kujivisha uhusika na kujifanya Yesu katika moja ya picha alizoweka katika ukurasa...

Baada ya Maombezi Rose Muhando Ajiita Simba.

  Muimbaji mkongwe kutoka Tanzania na mshindi wa tuzo mbalimbali za kimataifa kupitia muziki wa injili Rose Muhando ameingia tena kwenye vichwa vya habari baada ya kujiita simba siku chache...

KEMEA PEPO ya Masanja, Askofu Gwajima Ndani

mchungaji na muimbaji Emmanuel Mgaya aliyejipatia umaarufu kupitia uchekeshaji na baadaye kumpokea na kuamua kumtumikia Yesu ameachia video ya wimbo wake wa KEMEA PEPO ambapo ndani ya wimbo huo...

Wimbo wa Angel Bernard Wazuia Mtu Kujiuwa.

Nyimbo na uimbaji umekuwa ukifanya maajabu si katika kipindi hiki tu bali Tangu Enzi za ukuta wa Yeriko, Nguvu ya kusifu ingali hai na bado inafanya kazi katikati ya...

Msamaha wa Kirk Franklin kwa Baba yake, Fundisho Tosha.

Kitendo cha Mwimbaji Legend Wa Muziki Wa Injili Marekani Kirk Franklin kukiri Kumsamehe Baba Yake Mzazi Aliyeishi Miaka Yote Akimchukia Baada Ya Baba Yake Huyo Pamoja Na Mama Yake...

Barua ya Ciara kwa Mungu Kuhusu Binti yake.

uhusiano kati ya mama na mtoto ni uhusiano usioweza vunjika kirahisi haswa pale mama anapomkuza mtoto wake kwa mapema na kumlea katika njia sahihi, ni katika hali hiyo muimbaji...

Emmanuel Mbasha Afunguka Kuhusu Mtoto Wake na Florah

Msanii wa nyimbo za injili nchini ,Emanuel Mbasha amekuwa akiongea na kulalamika kwa uchungu sana tangu alipoachana kwa talaka na mzazi mwenzie Florah Mbasha miaka minne iliyopita  baada ya...

Mkesha REFUEL Campus Arusha 2018 Historia Kuandikwa.

Kuwepo kwa matamasha na ibada mbalimbali za kusifu na kuabudu imekuwa ni moja kati ya tamaduni zinazokuwa kwa haraka Zaidi huku utaratibu huu ukionesha matokeo chanya kwa kuwavuta vijana...

Stay connected

533FansLike
1,658FollowersFollow
9FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -

Top Trending

Baada ya Maombezi Rose Muhando Ajiita Simba.

  Muimbaji mkongwe kutoka Tanzania na mshindi wa tuzo mbalimbali za kimataifa kupitia muziki wa injili Rose Muhando ameingia tena kwenye vichwa vya habari baada...

Mambo 5 tunayoweza Kujifunza Kutoka Kwa Watoto

Watoto ni malaika wa kweli wanaoweza kutufundisha jinsi ya kuishi maisha mazuri. Ingawa wakati mwingine hawatambui wanachokuwa wakikifanya, lakini wanatupa nafasi ya kujifunza vitu...

Mfahamu Joel Lwaga

Joel Lwaga Utambulisho. Joel Lwaga ni muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, muabudu halisi aliyeitwa kuleta Tumaini. Pia ni Msomi mwenye Shahada ya Uchumi, mwandishi wa nyimbo...

Alice Kimanzi Aachia hardcopy ya Albam Yake Ya Yahweh

Muimbaji kutoka +254 nchini kenya Alice Kimanzi anaetazamia kufanya uzinduzi wa albam yake inayokwenda kwa jina la Yahweh amezidi kujiandaa na uzinduzi huo huku...