uhusiano kati ya mama na mtoto ni uhusiano usioweza vunjika kirahisi haswa pale mama anapomkuza mtoto wake kwa mapema na kumlea katika njia sahihi, ni katika hali hiyo muimbaji Ciara amejikuta akimuandikia Barua Mungu kuhusu binti yake ambaye hivi sasa anamiezi tisa tu akimsihi na kumuombea binti yake huyo akuwe katika kumpendeza Mungu.

Barua hiyo iliyoandikwa na gwiji huyo wa pop imegusa Hisia za wengi kufuatia kuandikwa katika hali ya mapenzi makubwa, sehemu ya barua hiyo ilisomeka hivi.

“Since the day you were born, watching you grow up has been the greatest blessing a mom could ask for. You are the little girl I always prayed for and more. If I could put out my prayer list and it comes true for you. I pray that you live life to the fullest and truly make the best of it. That you will be surrounded by the right group of people, have keen discernment, and know when something’s not right for you.”

hakuishia hapo Ciara alienda mbali zaidi na kuonesha imani yake wazi wazi pale alipo muombea binti yake huyo kuwa wakati utakapo kuwa sahihi apate mume bora atakaye mjali na kumpenda kama vile Yesu alivyompenda yeye.

“I decided to trust that God had a plan for me, and move forward one day at a time,”

anaendelea kwa kujitolea mfano yeye mwenyewe na kuandika

“I remember telling my friend the kind of guy I wanted: a God-fearing man with a very fun spirit who loves kids and would really, truly care for me. I was very specific because I do believe you can have it all.”

Ciara ni mke na mama wa watoto wawili ambao amewapata akiwa na mume wake Russell Wilson

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here