Muimbaji kutoka +254 nchini kenya Alice Kimanzi anaetazamia kufanya uzinduzi wa albam yake inayokwenda kwa jina la Yahweh amezidi kujiandaa na uzinduzi huo huku akiendelea kukamilisha baadhi ya vitu kuhakikisha kuwa albam hiyo inawafikia watu wa aina mbalimbali,

Alice mapema leo kupitia ukarasa wake wa Instagram amewapa taarifa njema wapenzi wake kuwa albam yake ambayo ilikuwa inapatikana mitandaoni tu sasa inapatikana kwa mfumo uliozoeleka (wa kawaida CD,DVD)na iko tayari.

alice aliandika

Hey guys,
so I know there were some of you who asked about hardcopies of the album and I am pleased to inform you that they are now available! 🙌🙌🙌
In the meantime, advance tickets to the album launch as still available 😊😊
Paybill: 559477
A/C: Alice Live

Pia aliwakumbusha kuwa tiketi za kuingia katika tamasha lake la uzinduzi bado zinapatikana na kuwakumbusha mahali tamasha hilo litakapofanyika.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here