Ninakupenda Yesu By Boaz Danken
https://www.youtube.com/watch?v=ZShxnoKOwXE
Ninakupenda Yesu means I love Jesus, it's worship song which will change your life forever and it will increase your fellowship with Jesus. welcome...
Artist Profiles
Events
Baada ya Maombezi Rose Muhando Ajiita Simba.
Muimbaji mkongwe kutoka Tanzania na mshindi wa tuzo mbalimbali za kimataifa kupitia muziki wa injili Rose Muhando ameingia tena kwenye vichwa vya habari baada...
Mambo 5 tunayoweza Kujifunza Kutoka Kwa Watoto
Watoto ni malaika wa kweli wanaoweza kutufundisha jinsi ya kuishi maisha mazuri. Ingawa wakati mwingine hawatambui wanachokuwa wakikifanya, lakini wanatupa nafasi ya kujifunza vitu...
Mfahamu Joel Lwaga
Joel Lwaga
Utambulisho.
Joel Lwaga ni muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, muabudu halisi aliyeitwa kuleta Tumaini.
Pia ni Msomi mwenye Shahada ya Uchumi, mwandishi wa nyimbo...
Alice Kimanzi Aachia hardcopy ya Albam Yake Ya Yahweh
Muimbaji kutoka +254 nchini kenya Alice Kimanzi anaetazamia kufanya uzinduzi wa albam yake inayokwenda kwa jina la Yahweh amezidi kujiandaa na uzinduzi huo huku...
KEMEA PEPO ya Masanja, Askofu Gwajima Ndani
mchungaji na muimbaji Emmanuel Mgaya aliyejipatia umaarufu kupitia uchekeshaji na baadaye kumpokea na kuamua kumtumikia Yesu ameachia video ya wimbo wake wa KEMEA PEPO...
Popular Videos
Mercy Masika Kufanya Live Recording Tanzania 2018
Muimbaji maarufu kutokea nchini Kenya Mercy Masika amefunguka wazi sababu zilizomfanya kutoka nchini Kenya na kuweka kambi yake nchini Tanzania kuwa ni katika maandalizi...